RC CHALAMILA AKABIDHI MKONO WA KHERI YA EID UL-FITR KWA WATOTO WENYE UHITAJI – DSM
-Asema Rais Samia ametoa mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani ya Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya […]