JESHI LA POLISI NCHINI LIMEPOKEA MAGARI 43 KUTOKA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND
Jeshi la Polisi Nchini leo Novemba 21, 2023 limepokea magari 43 kutoka Kampuni ya Ashok Leyland ikiwa ni jitihada za Serikali kuliwezeshwa Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Akiongea katika hafla iliyofanyika bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay, Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema magari […]