KITAIFA
January 27, 2025
76 views 3 mins 0

BARABARA KUFUNGWA DAR,BODABODA,BAJAJI HAZIRUHUSIWI MJINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA – Asema mpaka sasa Marais wengi wamekwishafika – Kufuatia uwepo wa ugeni huu Mkubwa baadhi ya barabara zitafungwa na kufunguliwa ili kuepusha usumbufu kwa wageni – Asisitiza kuwa Serikali imeelekeza tarehe 27-28 Januari, 2025ย  Watumishi wa Umma Dsm kufanyia kazi Nyumbani – Agusia sualaย  la Usafi, Ulinzi na Usalama wa Mkoa […]