Mtanzania Agundua dawa ya kuponya Virus vya UKIMWI aiomba serikali ushirikiano
Ukimwi ni swala ambalo watu wengi wanalifikilia na kuitaji kuhakikisha wanaweza kulidhibiti ugonjwa huu wa ukimwi Kwani taasisi mbalimbali wakiwapa elimu wananchi kuhusiana na swala hili la janga la ukimwi WHO ni shirika la afya linajitahidi sana kutoa elimu Kwa wale ambao walioathirika na kuwapa matumaini ya kuishi tena kwani kupata ukimwi sio kufa. Mtanzania […]