SERIKALI YASAINI HATI YA USHIRIKIANO WA UWEKEZAJI NA KAMPUNI YA CHINA
Na Mwandishi Wetu Mwezi mmoja baada ya ziara ya Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini China, Tanzania imefanikiwa kusaini Hati ya Ushirikiano ya uwekezaji na mafunzo na Kampuni ya Huduma za Mawasiliano ya Kielekroniki ya China (CECIS LTD) utakaowezesha kampuni zaidi ya 600 za vifaa vya Kompyuta kuwekeza nchini. Makubaliano hayo […]