MHE.KAPINGA MITUNGI YA GESI YA SH.BILIONI KUMI KUTOLEWA NA SERIKALI 2024/25
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ni sehemu ya uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia* Serikali kushirikiana na Wadau upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia hadi vijijini* Tanzani yatajwa kinara Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu wa fedha itatoa mitungi […]