KITAIFA
December 10, 2023
292 views 2 mins 0

WALIDHANI NIMEKUFA”ACHENI KUTUMIA MITANDAO VIBAYA-MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO

Na Madina Mohammed Baada ya kupotea Kwa Muda mrefu kidogo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Amesema yamesemwa mengi sana na wengine wanasema kuwa yeye ni mzuka Ameyasema hayo Leo Tarehe 10 Desemba 2023 wakati akiwa katika Ibada ya jumapili Katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa […]