MAENDELEO YA VIJANA NI KIPAUMBELE CHA RAIS SAMIA: MHE. KATAMBI
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuyapa kipaumbele masuala ya maendeleo ya vijana nchini. Aidha, Mhe. Katambi amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa, […]