MGODI WA NDOLELA MWANGA MPYA KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _• Waanza ujenzi wa Zahanati kuondoa kero kwa wananchi_ _• Wasaidia upatikanaji wa urahisi wa kokoto katika marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Iringa, Dodoma_ MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha […]