KITAIFA
September 24, 2024
83 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI SANGU:MAAMUZI YA MAMLAKA ZA AJIRA NA NIDHAMU KWA WATUMISHI ZINAINGIZIA HASARA SERIKALI

Na. Lusungu Helela-Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema suala la weledi katika kushughulikia mashtaka ya kinidhamu kwa Watumishi wa Umma nchini bado ni ya kiwango cha chini sana, hali inayopelekea Serikali kuingia gharama pindi rufaa na malalamiko ya mtumishi ambaye hakuridhika na uamuzi wa […]