RC CHALAMILA APOKEA MELIVITA YA MATIBABU YA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA MAARUFU KWA JINA LA ‘PEACE ARK’
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Atoa rai kwa wakazi wa Dar es salaam na watanzania kujitokeza kwa wingi kupatiwa matibabu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 16,2024 amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace Ark ya Jeshi la ukombozi la watu wa China katika Bandari ya Dar es Salaam. RC Chalamila […]