KITAIFA
July 29, 2024
248 views 4 mins 0

WAGOMBEA URAIS TLS KUDHIBITI Mร€WAKILI VISHOKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAKATI uchaguzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ukitarajiwa kufanyika Agosti 2, mwaka huu jijini Dodoma, wagombea nafasi ya Uraisย  wamejinadi namna ya kujenga chama hicho kwenye misingi yenye nguvu ikiwamo kuondokana na vishoka katika taaluma hiyo. Wagombea wanaowania nafasi hiyo ni Wakili Sweetbert Nkuba, Paul Kaunda, Revocatus Kuuli, Emmanuel Muga, […]