FISI AUWA MTU MMOJA MTWARA
MKAZI wa kijiji cha Chiwambo, kata ya Lulindi, wilayani Masasi, mkoani Mtwara, Haika Mangeja (62), ameuawa baada ya kuvamiwa na fisi wakati akijaribu kumwokoa mke wake. Wananchi wa kijiji hicho walifika eneo la tukio na kumkuta fisi huyo akiwa anakula mwili wa marehemu eneo la kichwani na kumuua kwa kutumia silaha za jadi. Mwenyekiti wa […]