KITAIFA
December 07, 2023
410 views 34 secs 0

TFRA WADAU WA MBOLEA WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, amekusanya kiasi cha tani 78.5 za mbolea zenye thamani ya shilingi Milioni 129,449,094 kutoka kwa wadau wa mbolea zitakazokabidhiwa kwa waathirika wa mafuriko ya tope yaliyotokea Wilayani Hanang katika mji mdogo wa Katesh hivi karibuni. Laurent amekabidhiwa kiasi cha tani 65 za mbolea […]