TFRA YAPOKEA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU UWEKEZAJI KATIKA VIWANDA VYA KUZALISHA MBOLEA KWA KUTUMIA MALIGHAFI ZINAZOPATIKANA NCHINI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imepokea taarifa ya matokeo ya awali ya utafiti kuhusu matumizi ya makaa ya mawe na gesi asilia katika uzalishaji wa mbolea hususan zenye kirutubisho cha naitrojeni kutoka Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo ya Mbolea (IFDC) chenye makao makuu yake nchini Marekani. Akizungumza mara baada […]