KITAIFA
February 24, 2024
272 views 6 mins 0

DKT BITEKO AAGIZA UBORESHAJI HUDUMA ZA AFYA KWA WAZEE

📌 *Azindua ugawaji Kadi za Bima ya Afya kwa wananchi 6000 jijini Mbeya* 📌 *Mbeya kufaidika na mradi wa umeme wa TAZA* 📌 *Vijiji 503 vyasambaziwa umeme* Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa maelekezo kwa wasimamizi wa vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia madirisha […]