SERIKALI KUIMARISHA MIRADI YA GRIDI IMARA YA UMEME NCHINI
Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya kuimarisha na kuboresha upatikanaji wa umeme kwenye gridi ya Taifa (Gridi imara) ili kuwezesha wananchi kupata huduma hiyo muhimu ya umeme kila sehemu ya Nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula aliyejibu swali bungeni kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]