UWANJA WA MASHUJAA KUJENGWA MNARA MREFU AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma leo Julai 25,2023 ambapo amesema mnara utakaojengwa katika uwanja huo wa Mashujaa utakuwa ni mnara mrefu zaidi Afrika. “Siku ya leo ni siku ya tafakuri, sala na dua zaidi na […]