KIKWETE KUWA MGENI RASMI KATIKA MASHINDANO YA QURAN YA MADRASA YA AN – NUJUM
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Al- Madrasatul An-nujum imeandaa mashindano ya kuhifadhisha Quran Tukufu siku ya Tarehe 2 ya mwezi wa 3 2025 Katika ukumbi wa Dyccc chang’ombe jijini dar es salaam Taasisi hiyo Mpaka Sasa imefikisha miaka 22 tokea kuazishwa kwake Kwa mashindano hayo ya kuhifadhisha Quran Tukufu Kwa vijana […]