MAREKANI,UINGEREZA ZALAANI UTEKAJI NYARA NA MAUAJI YA WAANDAMANAJI KENYA
Marekani, Uingereza na mataifa mengine yamelaani kutekwa nyara na kuuawa kwa waandamanaji nchini Kenya wakati wa maandamano yanayoendelea ya kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha ambayo yamekuwa yakifanyika kote nchini. Katika taarifa ya pamoja, Mabalozi na Makamishna Wakuu kutoka nchi 13 walielezea wasiwasi wao juu ya ghasia zinazoshuhudiwa kote nchini na kusababisha vifo. โTunasikitishwa sana […]