KITAIFA
July 01, 2024
224 views 3 mins 0

MNDOLWA AHIMIZA WATUMISHI WA NIRC KUZINGATIA UBIRA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA SERIKALI.

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bwana Raymond Mndolwa, amewataka wahandisi na watumishi wa Tume kuheshimu, kusimamia na kutekeleza miradi kwa viwango na ubora. Amesema ni aibu kwa taasisi kuwa na miradi isiyokidhi viwango hivyo hatakuwa tayari kuona miradi hiyo inaiangusha serikali na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi. Mndolwa […]