KITAIFA
June 29, 2024
215 views 3 mins 0

NEMC YAWATAKA WACHIMBAJI WADOGO KUFANYA MATUMIZI SALAMA YA KEMIKALI ZA ZEBAKI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetaka wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kutumia njia mbadala ya uchenjuaji na kuacha matumizi hatarishi ya kemikali ya zebaki ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu na Mazingira. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira NEMC Dkt. Menan Jangu […]