MAMLAKA YA MAPATO TRA YAZIDI KUJIDHATITI UKUSANYAJI MAPATO NCHINI
Na Richard Mrusha MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwaka wa fedha waย 2023/2024 imeweza kukusanya shilingi trilioni 27 .64 nakuipa fursa Serikali kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo na kustawisha maisha ya watanzania pasipo na wasiwasi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai Mosi, 2024 na aliyekuwaย Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata, imesema […]