TMA WATOA UTABIRI WA MVUA KWA MSIMU WA NOVEMBA 2024 HADI APRILI 2025
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mvua kwa msimu wa Novemba 2024 hadi Aprili 2025, ikisisitiza umuhimu wa maandalizi katika sekta mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa Leo Kamu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo Ladislaus Chang’a alisema mvua za msimu zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya pili na ya […]
NAIBU KATIBU MKUU UCHUKUZI ATEMBELEA OFISI ZA TMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Uchukuzi, kufahamu majukumu ya kiutendaji na […]
SERIKALI YA DKT SAMIA YAIKABIDHI TMA RADA MBILI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ili kuhakikisha Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inafanya kazi zake kwa ufanisi, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu imekabidhi rada mbili za hali ya hewa zilizopo Mwanza na Dar es salaam. Rada hizo awali zilikuwa zinafanyiwa uboreshaji na kampuni ya Enterprises Electronic Corporation (EEC) […]
KAMATI TENDAJI YA MRADI WA SOFF YAKUTANA KUIDHINISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA MRADI TANZANIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KAMATI Tendaji ya Utekelezaji wa Mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuimarisha Uangazi wa Hali ya Hewa (SOFF) imekutana kwa mara kwanza katika ukumbi wa hoteli ya Morena, Morogoro, tarehe 16 Oktoba 2024, ikiwa na lengo la kupitia na kuidhinisha nyaraka muhimu za kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi huo […]