KITAIFA
April 04, 2025
21 views 2 mins 0

TMDA IMEWATAHADHARISHA WAFANYABIASHARA WANAOINGIZA NA KUSAMBAZA DAWA NA VIFAA TIBA NA VITENGANISHI VIZIVYOSAJILIWA

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Ni muendelezo wa utoaji elimu kwa waingizaji na wasambazaji wa  dawa , vifaa tiba na vitenganishi  kutoka Wilaya ya Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza ,Elimu hii inatolewa na mamlaka ya dawa na vifaa tiba TMDA Kanda ya Ziwa Mashariki. Mamlaka ya dawa na vifaa Tiba TMDA Kanda ya ziwa mashariki imewatahadharisha […]

KITAIFA
September 22, 2024
477 views 19 secs 0

TMDA YATOA ONYO KWA WAFUGAJI WANAOTUMIA DAWA ZA ARV KUNENEPESHA MIFUGO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na Vifaa Tiba TMDA imesema kwamba imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi (ARV’S) Ili kunenepesha mifugo Yao. Taarifa iliyotolewa Kwa vyombo vya habari na mkurugenzi mkuu wa TMDA Adam Fimbo amesema mamlaka […]

KITAIFA
May 20, 2024
269 views 3 mins 0

TMDA YAZIDI KUWASHIRIKISHA WANANCHI NA WADAU KATIKA KUDHIBITI,UBORA NA USALAMA WA DAWA ILI KULINDA AFYA YA JAMII

Na Madina Mohammed IRINGA WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na Vifaa Tiba TMDA tangu kuanzishwa kwake Takribani Miaka 21 Sasa,imekuwa ikishirikisha wananchi na wadau Katika Shughuli za udhibiti wa ubora,usalama na ufanisi wa dawa,vifaa na vitendanishi nchini Ili kulinda Afya ya jamii Hayo ameyasema Leo Tarehe 16 Mei 2024 Katika kikao kazi Cha wahariri wa habari […]

KITAIFA
May 18, 2024
192 views 35 secs 0

TMDA KUWATUNUKIA TUZO WAANDISHI WA HABARI

Na Madina Mohammed IRINGA WAMACHINGA Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA) kwa mara ya tatu leo imetoka tuzo kwa Waandishi wa habari bora wa Uandishi wa habari za dawa, vifaa tiba, vitendanishi na bidhaa za tumbaku. Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo hizo ambazo pia ziliambatana na Kikao kazi Cha Wahariri […]