TMDA KUNUFAIKA MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA KATIKA HUDUMA YA AFYA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya dawa na tiba asilia TMDA yamtakia MHE RAIS SAMIA Kwa kufikisha miaka minne Katika kutumikia nchi ya Tanzania Kwa miaka hiyo aliyokuwa madarajani na kufanya mapinduzi Katika maswala ya Afya TMDA imesema Mhe Rais ameyafanya makubwa Kwa kujua huduma za wananchi wake Kwa Kupitia wizara ya […]