BURUDANI
December 12, 2023
332 views 9 secs 0

STEVE NYERERE:KUWAVESHA VIATU WAHANGA WA HANANG

DAR ES SALAAM: Na Madina Mohammed Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele โ€˜Steve Nyerereโ€™ amewaomba watanzania kuwachangia huduma za vitu mbali mbali waathirika wa mafuriko Hanang. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Programu ya Mama amstiri Mwanamke jijini Dar es Salaam Steve Nyerere amesema kuwa taasisi hiyo imelenga kutoa taulo […]