STEVE NYERERE:KUWAVESHA VIATU WAHANGA WA HANANG
DAR ES SALAAM: Na Madina Mohammed Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele โSteve Nyerereโ amewaomba watanzania kuwachangia huduma za vitu mbali mbali waathirika wa mafuriko Hanang. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Programu ya Mama amstiri Mwanamke jijini Dar es Salaam Steve Nyerere amesema kuwa taasisi hiyo imelenga kutoa taulo […]