TANZANIA YAPOKEA FARU WEUPE KUTOKA AFRIKA KUSINI
โ Lengo ni kuimarisha uhifadhi nchini Na Happiness Shayo – Ngorongoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo […]