LIJUE KABILA LINALOMKARIBISHA MGENI KWA KUMPA PENZI USIKU KUCHA
Kabila la Ovahimba ambalo linapatikana kaskazini mwa nchi ya Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima na baraka kutoka kwa mgeni. Mgeni wa kiume anapowasili kwa siku ya kwanza huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa. kama […]