NITUMIE HELA KWENYE NAMBA HIU”11 MBARONI FAINI M.6 KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAHAKAMANI DAR ES SALAAM, 29 Machi, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutoa taarifa za […]