SABABU YA ‘WALIOTUMWA NA AFANDE’ KWENDA JELA MAISHA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu โwaliotumwa na afandeโ, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 […]