KITAIFA
December 27, 2023
392 views 9 secs 0

KESI YA MBUNGE GEKUL YATUPILIWA MBALI

Na Mwandishi wetu.Babati HABARI Mahakama ya wilaya ya Babati imeifutilia mbali kesi ya ukatili iliyokuwa inamkabili mbunge wa jimbo la Babati Mjini, Pauline Gekul kuhusu tuhuma za unyanyasaji kwa kijana Hashim Ally. Uamuzi huo umetolewa leo Desemba 27, 2023, na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya Babati, Victor Kimario na kusema ameifuta baada ya Mkurugenzi […]