KITAIFA
April 16, 2024
76 views 3 mins 0

TAWA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Na. Beatus Maganja Wananchi walioathiriwa na mafuriko  wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA baada ya leo  Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo  yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa sembe, Kilo 666 za maharage na […]

KITAIFA
April 16, 2024
101 views 2 mins 0

TAWA YAWEKA KAMBI RUFIJI,ELIMU YA KUEPUKA MADHARA YA MAMBA NA VIBOKO YATOLEWA

Na. Beatus Maganja Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja alipokuwa akiongea […]