WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI KATIKA MBIO ZA HISANI ZA MAENDELEO BANK
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za hisani za Maendelo Bank zenye lengo kukusanya milioni 200 zitakazo saidia vituo viwili vya watotoย kwenye Hospitali ya KCMC Mkoani Kilimanjaro ambapo itasaidiaย watoto waliozaliwa chini ya miezi 9 pamoja na kituo cha watoto yatima cha mtoni […]