KITAIFA
November 09, 2023
253 views 2 mins 0

WAZIRI MAVUNDE:TANZANIA KUANZA UCHIMBAJI WA MADINI ADIMU REE

โ—Yatachimbwa kwa kipindi cha miaka 30 โ—Ni mradi wa ushirikiano wa Kampuni mbili โ— Bilioni 18.6 zimelipwa kupisha mradi wa Heavy Mineral Sand Kigamboni Serikali kupitia Wizara ya Madini itaanza rasmi uchimbaji wa Madini Adimu yaani _Rare Earth Element_ (REE) kupitia kampuni ya uchimbaji madini ya Mamba ijulikanayo kama _Mamba Minerals Corporation Limited_ (MMCL) yenye […]