SERIKALI KUIMARISHA NJIA ZA USAFIRISHAJI MADINI-MAJALIWA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikaliย itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo inakuwa kwa kasi na tija kwa uchumi wa nchi. Majaliwa ameyasema hayo leoย jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassanย kwenye Mkutano wa sita wa Kimataifa wa Madini ulioanza leo […]