DCEA YAKAMATA KILO 54,489,65 YA DAWA ZA KULEVYA NA AINA MPYA YA MDPV KILO 4.623
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikiwa kukamata Kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa ya kulevya aina ya methylene dioxy pyrovalerone (MDPV) iliyokamatwa jijini Dar es Salaam ikisafirishwa na raia wa Comoro anayeitwa Ahmed Bakar Abdou (32). Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili […]