MACHIFU WAKEMEA WANAOCHOCHEA UVUNJIFU WA AMANI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RUVUMA MACHIFU wa makabila mbalimbali nchini wametoa tamko la kuwaomba watanzania kutokubali kuvuruga amani iliyopo na kumheshimu Rais Samia Suluhu Hassan ili aendelee kuwaletea maendeleo. Aidha, wamemshukuru Rais Samia kwa kutambua umuhimu wao na kuahidi kuendelea kuombea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani ili Tanzania […]