RAIS MWINYI :MIFUMO IMARA YA HAKI NI MSINGI WA KUKUZA IMANI KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali inaelewa kwamba utekelezaji wa Sheria kwa uadilifu na kuwepo kwa mifumo imara ya upatikanaji wa haki ni msingi muhimu katika kujenga na kukuza Imani ya wananchi kwa Serikali yao, kuleta amani na utulivu katika nchi pamoja […]