MAJALIWA TUZO ZINAIMARISHA IMANI YA DINI NA UWEZO KWA VIJANA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MAJALIWA _▪️Asema ushiriki wa Rais Dkt. Samia kwenye tuzo hizo ni kielelezo cha namna anavyothamini na kuiishi Imani ya Dini ya Kiislam na uhifadhi wa Qur’aan_ _▪️Asema tuzo hizo zinaimarisha imani ya dini na uwezo kwa vijana._ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kufundisha […]