DKT. BITEKO AKIWASILI KWENYE MAADHIMISHO MIAKA 61 YA MUUNGANO – MKOANI ARUSHA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwasili katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha kushiriki maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo 26 Aprili, 2025. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi.”