MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA KITAIFA KUFANYIKA UWANJA WA UHURU
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Tamasha kubwa kufanyika April, 25, 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kinondoni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 24, 2024 akizungumza na vyombo vya habari Ofisini kwake amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikisha miaka 60 ifikapo ijumaa April 26 mwaka huu, […]