KITAIFA
November 16, 2023
146 views 5 mins 0

ZIARA YA DKT BITEKO MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAACHA ALAMA

Aagiza kituo cha Polisi, Afya, Taa za Barabarani kuwekwa Kijiji cha Msimbati Wananchi Kijiji cha Songosongo kupatiwa umeme, Maji, Kivuko Aagiza Vijiji vya Msimbati, Madimba na Songosongo kupata gawio la Ushuru wa Huduma Ataka TANESCO kuja na suluhisho la changamoto ya umeme Lindi/Mtwara Mtwara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]

KITAIFA
November 07, 2023
215 views 13 secs 0

DKT BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA KAKA WA WAZIRI MKUU MAJALIWA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Novemba 06, 2023 ameongoza Viongozi mbalimbali wa Serikali katika mazishi ya Mzee Issa Nangalapa ambaye ni kaka wa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Wilaya ya Ruangwa, Lindi. Akizungumza katika ibada ya mazishi Dkt. Biteko amempa pole Mheshimiwa Majaliwa na kwamba ujio wa viongozi […]