BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI,AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI
Na mwandishi wetu LINDI,LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa […]