WAKUU WA WILAYA WAMEZIAGIZA TAASISI ZA TAMISEMI KUTEKELAZA MAJUKUMU YAO
Wakuu wa Wilaya za Lindi na Mtwara wameziagiza Taasisi zilizoko Mikoani humo kuhakikisha wanalipia gharama za huduma wanazopatiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ili kuuwezesha Wakala huo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Wakuu hao wa Wilaya, wameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati wa vikao vya wadau vilivyoandaliwa na TEMESA na kufanyika katika Wilaya zao […]