KITAIFA
October 25, 2023
423 views 53 secs 0

TARURA YAWAUNGANISHA WANANCHI WILAYA YA RUANGWA NA LIWALE

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Lindi imekamilisha ujenzi wa daraja la Mbwemkuru lenye urefu wa mita 75 na kufungua barabara ya Ruangwa-Nangurugai- Kiangara-Mirui-Mbwemkuru yenye jumla ya Km 65. Meneja wa TARURA Wilaya ya Ruangwa, Mhandisi Mashaka Narubi ameeleza kuwa kukamilika kwa daraja hilo imekua ni fursa kwa wananchi kusafiri kwa urahisi […]