KITAIFA
November 09, 2023
294 views 2 mins 0

DKT BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA BIASHARA WA KOREA KUSINI

Aahidi kuendeleza ushirikiano katika kukuza uchumi Korea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara kutoka nchini Korea Kusini, Mhe.Ahn Dukgeun ambapo  ameeleza kuwa, Tanzania na Korea Kusini zitaendelea kudumisha ushirikiano uliopo katika nyanja za kiuchumi na kijamii ili […]