KITAIFA
November 08, 2023
185 views 3 mins 0

SERIKALI YAWATAKA WAWEKEZAJI KUJENGA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI YA MADINI MKAKATI

Mahenge kunufaika na mradi wa madini ya Kinywe Kuboresha sekta ya Maji, Afya na Miundombinu Korea Kusini yaridhishwa na miundombinu ya Reli nchini Tanzania imefungua milango ya uwekezaji katika Sekta ya Madini kwa nchi ya Korea ya Kusini ikiwemo kuendeleza ushirikiano wa kikazi katika kufanikisha utekelezaji wa mikakati ya Vision 2030:MadinI Maisha na Utajiri. Hayo […]