KITAIFA
October 26, 2024
42 views 5 mins 0

KONGAMANO LA JOTOARDHI AFRIKA KULETA UWEKEZAJI NA UBUNIFU MPYA TANZANIA-MHE KADUARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ARGeo-C10 itasaidia  Afrika kufikia suluhisho la upatikanaji Nishati Safi* Awaita Washirika wa Maendeleo kuendeleza Jotoardhi Tanzania* Dkt.Mataragio asema Tanzania imetumia ARGeo-C10 kutangaza hazina ya Jotoardhi* Shirikisho la Jotoardhi Afrika (AGA) lasema ni Kongamano la aina yake* Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar, Mhe. Shaibu Kaduara […]

KITAIFA
October 25, 2024
37 views 3 mins 0

SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKISHA WAWEKEZAJI UENDELEZAJI NISHATI JADIDIFU-DKT MATARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema maeneo yenye vyanzo vya Nishati Jadidifu yameshatambuliwa* Mikoa 16 yatajwa kuwa na rasilimali ya Jotoardhi* Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye nishati jadidifu ili kuyaendeleza na hivyo  kuwezesha azma ya nchi kuwa na umeme unaotokana na  vyanzo mchanganyiko. […]

KITAIFA
October 23, 2024
44 views 5 mins 0

DKT MPANGO ATAKA AFRIKA KUUNGANISHA NGUVU UENDELEZAJI WA JOTOARDHI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi* Akaribisha uwekezaji katika vyanzo vya Jotoardhi Tanzania* Afungua Kongamano la Jotoardhi Afrka ( ARGeo-C10)* Kapinga amshukuru Dkt.Samia kwa Dira inayoiimarisha Sekta ya Nishati* Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza […]

KITAIFA
October 21, 2024
36 views 4 mins 0

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA JOTOARDHI LAANZA KWA MAFANIKIO DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lahusisha nchi 21 na Washiriki 800* Kuangazia Sera, fursa za masoko na uwekezaji* Kamishna Luoga asema lengo ni kuendeleza nishati ya Jotoardhi nchini* UNEP yaipongeza Tanzania kwa maandalizi* Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21 duniani wameshiriki. Hayo […]